-
Zaburi 66:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Nitakutolea dhabihu za kuteketezwa za wanyama waliononeshwa
Pamoja na moshi wa dhabihu za kondoo dume.
Nitatoa ng’ombe dume pamoja na mbuzi dume. (Sela)
-