-
Zaburi 144:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Niokoe na kuninusuru kutoka katika mkono wa wageni,
Ambao vinywa vyao husema uwongo
Na ambao wanainua mkono wao wa kulia ili kuapa kwa uwongo.
-