Yeremia 19:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Nitalifanya jiji hili kuwa kitu cha kutisha na kitu cha kupigiwa mluzi. Kila mtu atakayepita kando yake atatazama kwa mshtuko na kupiga mluzi kwa sababu ya mapigo yake yote.+
8 Nitalifanya jiji hili kuwa kitu cha kutisha na kitu cha kupigiwa mluzi. Kila mtu atakayepita kando yake atatazama kwa mshtuko na kupiga mluzi kwa sababu ya mapigo yake yote.+