Maombolezo 1:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Dhambi zangu zimefungwa kama nira, mkono wake umezifunga pamoja. Zimewekwa shingoni mwangu, nami nimeishiwa na nguvu. Yehova amenitia mikononi mwa watu ambao siwezi kuwapinga.+ Maombolezo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:14 Mnara wa Mlinzi,9/1/1988, uku. 26
14 Dhambi zangu zimefungwa kama nira, mkono wake umezifunga pamoja. Zimewekwa shingoni mwangu, nami nimeishiwa na nguvu. Yehova amenitia mikononi mwa watu ambao siwezi kuwapinga.+