-
Ezekieli 23:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Lakini alizidisha matendo yake ya ukahaba. Aliwaona wanaume waliochongwa ukutani, sanamu za Wakaldayo zilizochongwa na kupakwa rangi nyekundu,
-