-
Yona 3:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Pia, akaamuru tangazo hili litolewe katika jiji lote la Ninawi:
“Kwa agizo la mfalme na wakuu wake: Hakuna mwanadamu yeyote wala mnyama yeyote wa kufugwa anayepaswa kula kitu chochote. Hawapaswi kula chakula wala hawapaswi kunywa maji.
-