Mika 2:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Lakini hivi karibuni watu wangu mwenyewe wameinuka kama adui. Mnalivua hadharani pambo la kifahari pamoja na* vaziKutoka kwa watu wanaopita bila wasiwasi, kama watu wanaorudi kutoka vitani.
8 Lakini hivi karibuni watu wangu mwenyewe wameinuka kama adui. Mnalivua hadharani pambo la kifahari pamoja na* vaziKutoka kwa watu wanaopita bila wasiwasi, kama watu wanaorudi kutoka vitani.