Habakuki 2:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Umepanga njama ya aibu dhidi ya nyumba yako. Kwa kuyaangamiza mataifa mengi unatenda dhambi dhidi yako mwenyewe.*+
10 Umepanga njama ya aibu dhidi ya nyumba yako. Kwa kuyaangamiza mataifa mengi unatenda dhambi dhidi yako mwenyewe.*+