Habakuki 3:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Nilisikia nikatetemeka kwa ndani;*Niliposikia sauti hiyo midomo yangu ilitetemeka. Uozo ukaingia mifupani mwangu;+Miguu yangu ikatetemeka. Lakini nangojea kimyakimya ile siku ya taabu,+Kwa sababu inawajia watu wanaotushambulia. Habakuki Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 3:16 w00 2/1 23-24 Habakuki Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 3:16 Mnara wa Mlinzi (Funzo),11/2018, uku. 17 Mnara wa Mlinzi,2/1/2000, kur. 23-24
16 Nilisikia nikatetemeka kwa ndani;*Niliposikia sauti hiyo midomo yangu ilitetemeka. Uozo ukaingia mifupani mwangu;+Miguu yangu ikatetemeka. Lakini nangojea kimyakimya ile siku ya taabu,+Kwa sababu inawajia watu wanaotushambulia.