-
Zekaria 1:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Nikauliza: “Hawa wanakuja kufanya nini?”
Akajibu: “Hizi ndizo pembe zilizowatawanya watu wa Yuda hivi kwamba hakuna yeyote aliyeweza kuinua kichwa chake. Mafundi hawa watakuja kuzitisha, kuziangusha chini pembe za mataifa yaliyoinua pembe zao dhidi ya nchi ya Yuda, ili kuwatawanya wakaaji wake.”
-