-
Mathayo 4:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 na kumwambia: “Ikiwa wewe ni mwana wa Mungu, jivurumishe chini; kwa maana imeandikwa, ‘Yeye atawapa malaika zake agizo kukuhusu wewe, nao watakuchukua mikononi mwao, ili usipate kupiga mguu wako dhidi ya jiwe wakati wowote.’”
-