-
Mathayo 5:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Hata hivyo, mimi nawaambia nyinyi kwamba kila mtu aendeleaye kuwa na hasira ya kisasi na ndugu yake atapaswa kutoa hesabu kwa mahakama ya kuamulia haki; lakini yeyote yule amwambiaye ndugu yake neno la dharau lisilosemeka atapaswa kutoa hesabu kwa Mahakama Kuu Zaidi; hali yeyote yule asemaye, ‘Wewe baradhuli!’ atakuwa mwenye kustahili Gehena ya moto.
-