-
Mathayo 6:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 ili usionekane kwamba unafunga kwa wanadamu bali kwa Baba yako aliye mahali pa siri. Naye Baba yako anayeona akiwa mahali pa siri atakulipa.
-
-
Mathayo 6:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 ili upate kuonekana kuwa unafunga, si na wanadamu, bali na Baba yako aliye katika siri; ndipo Baba yako anayetazama katika siri atakurudishia wewe.
-