-
Mathayo 10:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Popote pale ambapo yeyote hawakaribishi nyinyi au hasikilizi maneno yenu, mnapoenda kutoka katika nyumba hiyo au jiji hilo yakung’uteni mavumbi kutoka kwenye miguu yenu.
-