-
Mathayo 12:44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
44 Kisha anasema, ‘Nitarudi kwenye nyumba yangu niliyoihama’; naye anapofika, anakuta haijakaliwa lakini imefagiwa ikawa safi na kupambwa.
-
-
Mathayo 12:44Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
44 Ndipo asemapo, ‘Hakika nitarudi kwenye nyumba yangu niliyoihama’; naye awasilipo huikuta haijakaliwa lakini imefagiwa kuwa safi na kurembwa.
-