-
Mathayo 17:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Yeye akawaambia: “Kwa sababu ya imani yenu kidogo, kwa maana kwa kweli nawaambia nyinyi, Mkiwa na imani yenye ukubwa wa punje ya haradali, mtaambia mlima huu, ‘Hama kutoka hapa hadi pale,’ nao utahama, na hakuna jambo litakalokuwa haliwezekani kwenu.”
-