-
Mathayo 18:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Ndipo Petro akaja na kumuuliza: “Bwana, ndugu yangu atanitendea dhambi mara ngapi nami nimsamehe? Mpaka mara saba?”
-
-
Mathayo 18:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Ndipo Petro akaja na kumwambia: “Bwana, ni mara ngapi ndugu yangu atafanya dhambi dhidi yangu nami nimsamehe? Mpaka mara saba?”
-