Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 21:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Ubatizo wa Yohana, ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?”* Lakini wakaanza kujadiliana kati yao wakisema: “Tukisema, ‘Ulitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Kwa nini hamkumwamini?’+

  • Mathayo 21:25
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 25 Ubatizo wa Yohana, ulikuwa wa kutoka chanzo gani? Kutoka mbinguni au kutoka kwa wanadamu?” Lakini wakaanza kujadiliana kwa kutoa sababu miongoni mwao wenyewe, wakisema: “Tukisema, ‘Kutoka mbinguni,’ atatuambia, ‘Basi, kwa nini hamkumwamini?’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki