-
Mathayo 21:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Kwa maana Yohana alikuja kwenu katika njia ya uadilifu, lakini hamkumwamini. Hata hivyo, wakusanya-kodi na makahaba walimwamini, nanyi, ijapokuwa mliona hilo, hamkuhisi majuto baadaye ili kumwamini.
-