-
Mathayo 21:41Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
41 Wakamwambia: “Kwa sababu ni waovu, atawaangamiza kabisa na kulikodisha shamba la mizabibu kwa wakulima wengine, ambao watampa matunda yatakapoiva.”
-
-
Mathayo 21:41Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
41 Wakamwambia: “Kwa sababu wao ni waovu, ataleta uharibifu mwovu juu yao na kukodisha shamba la mizabibu kwa walimaji wengine, ambao watamtolea yeye matunda yakiwa yamewadia wakati wayo.”
-