-
Mathayo 22:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Basi wakatuma wanafunzi wao kwake, pamoja na wafuasi wa chama cha Herode, wakisema: “Mwalimu, twajua wewe ni mwenye ukweli nawe hufundisha njia ya Mungu katika kweli, nawe hujali yeyote, kwa maana wewe hutazami kuonekana kwa mtu kwa nje.
-