-
Mathayo 23:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 “Ole wenu nyinyi, viongozi vipofu, msemao, ‘Ikiwa yeyote aapa kwa hekalu, si kitu; lakini ikiwa yeyote aapa kwa dhahabu ya hekalu, yeye yuko chini ya wajibu.’
-