-
Mathayo 24:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Kwa maana kama vile umeme hutokea sehemu za mashariki na kung’aa hadi sehemu za magharibi, ndivyo kuwapo kwa Mwana wa binadamu kutakavyokuwa.
-