-
Mathayo 26:75Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
75 Naye Petro akakumbuka usemi ambao Yesu alisema, yaani: “Kabla ya jogoo kuwika, utanikana mara tatu.” Naye akaenda nje na kutoa machozi kwa uchungu.
-