-
Mathayo 27:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Yesu sasa akasimama mbele ya gavana; naye gavana akamtokezea swali hili: “Je, wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu: “Wewe mwenyewe wasema hilo.”
-