-
Mathayo 27:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Walipokuwa wakitoka kwenda walikuta mzaliwa wa Kirene aitwaye jina Simoni. Mtu huyu wakamshurutisha kufanya utumishi kuinua mti wake wa mateso.
-