-
Mathayo 28:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Walipokuwa wameshika njia yao kwenda, tazama! baadhi ya walinzi wakaenda ndani ya jiji na kuripoti kwa makuhani wakuu mambo yote yaliyokuwa yametukia.
-