-
Marko 2:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Hakuna mtu ashonaye juu ya vazi la nje kuukuu kiraka cha nguo ambayo haijaruka; akifanya hivyo, nguvu yacho kamili huvuta kutoka kwenye hilo, lile jipya kutoka kwenye lile kuukuu, na mraruko huwa mbaya zaidi.
-