-
Marko 3:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Halafu akawaambia: “Je, yaruhusika kisheria siku ya sabato kutenda kitendo chema au kutenda kitendo kibaya, kuokoa au kuua nafsi?” Lakini wao wakafuliza kukaa kimya.
-