-
Marko 3:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Pia, ikiwa Shetani anajipinga mwenyewe na amegawanyika, hawezi kusimama, bali ataangamia.
-
-
Marko 3:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Pia, ikiwa Shetani ameinuka dhidi yake mwenyewe na kuwa mwenye kugawanyika, hawezi kusimama, bali anakuja kwenye mwisho.
-