-
Marko 4:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Basi, hawa, ndio wale walio kando ya barabara ambapo lile neno limepandwa, lakini mara tu wakiisha kuwa wamesikia hilo Shetani huja na kuliondoa neno lililopandwa ndani yao.
-