-
Marko 5:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Papo hapo mtiririko wake wa damu ukakoma, naye akahisi mwilini mwake kwamba alikuwa amepona ule ugonjwa mbaya.
-
-
Marko 5:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Na mara chemchemi yake ya damu ikakauka kabisa, naye akahisi mwilini mwake kwamba alikuwa ameponywa ule ugonjwa wenye kutia kihoro.
-