-
Marko 7:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 (Kwa maana kabla ya kula, Mafarisayo na Wayahudi wote hunawa mikono yao mpaka kwenye kiwiko, kwa kuyashika mapokeo ya mababu zao,
-
-
Marko 7:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 kwa maana Mafarisayo na Wayahudi wote hawali isipokuwa waoshe mikono yao hadi kwenye kiko, wakishika sana mapokeo ya watu wa nyakati za hapo zamani,
-