-
Marko 7:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Hakuna chochote kutoka nje ya mtu kipitacho ndani yake kiwezacho kumtia unajisi; bali mambo yatokayo katika mtu ndiyo mambo yamtiayo mtu unajisi.”
-