-
Marko 7:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Hata hivyo, yule mwanamke akamjibu: “Ndiyo, bwana, lakini hao mbwa wadogo walio chini ya meza hula makombo ya watoto wadogo.”
-
-
Marko 7:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Hata hivyo, kwa kujibu, huyo mwanamke akamwambia: “Ndiyo, bwana, na bado hao mbwa wadogo chini ya meza hula baadhi ya makombo ya watoto wadogo.”
-