-
Marko 9:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Basi wakamleta yule mvulana kwa Yesu, lakini yule roho mwovu alipomwona, mara moja akamfanya yule mtoto agaegae. Baada ya kuanguka chini, akaendelea kujiviringisha, akitoa povu mdomoni.
-
-
Marko 9:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Kwa hiyo wakamleta kwake. Lakini kwa kumwona tu, mara moja yule roho akamtia yule mtoto katika mifurukuto, na baada ya kuanguka juu ya ardhi akafuliza kugaagaa huku na huku, akitoa povu.
-