-
Marko 10:51Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
51 Na kwa kumjibu yeye Yesu akasema: “Wataka nikufanyie nini?” Yule mtu aliye kipofu akamwambia: “Raboni, acha nipate tena kuona.”
-