-
Marko 11:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Sasa wakaja Yerusalemu. Huko akaingia katika hekalu akaanza kufukuza nje wale waliokuwa wakiuza na kununua katika hekalu, naye akazipindua meza za wabadili-fedha na mabenchi ya hao waliokuwa wakiuza njiwa;
-