-
Marko 16:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Lakini baadaye akaonekana kwa wale kumi na mmoja wenyewe walipokuwa wakiegama kwenye meza, naye akashutumu ukosefu wao wa imani na ugumu wa moyo, kwa sababu hawakuamini wale waliokuwa wamemwona sasa akiwa amefufuliwa kutoka kwa wafu.
-