-
Luka 4:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Lakini Yesu akamkemea, akisema: “Nyamaza na umtoke.” Basi baada ya kumwangusha mtu huyo mbele yao, yule roho mwovu akamtoka bila kumuumiza.
-
-
Luka 4:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Lakini Yesu akamkemea, akisema: “Kimya, na umtoke.” Kwa hiyo, baada ya kumwangusha chini huyo mtu katikati yao, yule roho mwovu akamtoka bila kumuumiza.
-