-
Luka 6:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 “Wenye furaha ni nyinyi wakati wowote ule watu wawachukiapo nyinyi, na wakati wowote ule watu wawatengapo nyinyi na kuwashutumu na kulitupa nje jina lenu kuwa ovu kwa ajili ya Mwana wa binadamu.
-