-
Luka 6:45Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
45 Mtu mwema hutokeza mema katika hazina njema ya moyo wake, lakini mtu mwovu hutokeza ambayo ni maovu katika hazina yake mbovu; kwa maana katika wingi wa moyo kinywa chake husema.
-