-
Luka 7:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Wao ni kama watoto walioketi sokoni ambao wanaambiana kwa sauti kubwa, wakisema: ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza dansi; tuliomboleza, lakini hamkulia.’
-
-
Luka 7:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Wao ni kama watoto wachanga ambao wameketi katika mahali pa soko na kupaaziana kilio, na ambao wasema, ‘Tuliwapigia nyinyi filimbi, lakini hamkucheza dansi; tulitoa sauti za kuomboleza, lakini hamkutoa machozi.’
-