-
Luka 8:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Zile zilizo juu ya tungamo-mwamba ndio wale ambao, walisikiapo, hulipokea lile neno kwa shangwe, lakini hawa hawana mzizi; wao huamini kwa majira, lakini katika majira ya jaribu wao huanguka.
-