-
Luka 8:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Ndipo watu wakaenda kuona kilichotokea. Wakamjia Yesu na kumkuta yule mtu aliyetokwa na roho waovu ameketi miguuni pa Yesu, akiwa amevaa nguo na akiwa na akili timamu, nao wakaogopa.
-
-
Luka 8:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Ndipo watu wakatokea ili kuona lililokuwa limetukia, nao wakamjia Yesu wakamkuta yule mtu aliyetokwa na wale roho waovu, akiwa amevishwa na akiwa na akili yake timamu, ameketi miguuni pa Yesu; nao wakawa wenye hofu.
-