-
Luka 9:52Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
52 Basi akawatuma wajumbe wamtangulie. Wakaenda katika kijiji kimoja cha Wasamaria, ili wafanye matayarisho kwa ajili yake.
-
-
Luka 9:52Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
52 Kwa hiyo akatuma wajumbe kumtangulia. Nao wakashika njia yao kwenda wakaingia katika kijiji cha Wasamaria, kumfanyia tayarisho;
-