-
Luka 12:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 Uzeni mali yenu na toeni zawadi za rehema. Jifanyieni wenyewe vibeti visivyochakaa, hazina isiyopungua kamwe katika mbingu, ambapo mwizi hakaribii wala nondo hali kabisa.
-