-
Luka 12:53Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
53 Watagawanyika, baba dhidi ya mwana na mwana dhidi ya baba, mama dhidi ya binti na binti dhidi ya mama yake, mama-mkwe dhidi ya binti-mkwe wake na binti-mkwe dhidi ya mama-mkwe wake.”
-