-
Luka 17:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 “Siku hiyo mtu aliye kwenye paa la nyumba asishuke kuchukua mali iliyo ndani ya nyumba yake, vivyo hivyo mtu aliye shambani, asirudi kwenye vitu vilivyo nyuma.
-
-
Luka 17:31Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
31 “Siku hiyo mwacheni mtu aliye juu ya paa ya nyumba lakini ambaye vitu vyake vyenye kuchukulika vimo katika nyumba asiteremke kuvichukua, na mtu aliye nje katika shamba, mwacheni yeye hivyohivyo asirudi kwenye vitu vilivyo nyuma.
-