-
Yohana 1:48Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
48 Nathanaeli akamuuliza: “Umenijuaje?” Yesu akamjibu: “Nilikuona ulipokuwa chini ya mtini, kabla ya Filipo kukuita.”
-
-
Yohana 1:48Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
48 Nathanaeli akamwambia: “Yawaje kwamba wanijua mimi?” Kwa kujibu Yesu akamwambia: “Kabla ya Filipo kukuita wewe, ulipokuwa chini ya mtini, nilikuona wewe.”
-